Lugha Nyingine
Rais Xi akutana na Waziri Mkuu wa Ireland
(CRI Online) Januari 05, 2026

(Picha/Xinhua)
Rais Xi Jinping wa China amesema nchi zote zinapaswa kuheshimu njia za maendeleo zilizochaguliwa na watu wa mataifa mengine, na kufuata sheria ya kimataifa vilevile madhumuni na kanuni za Katiba ya Umoja wa Mataifa, huku nchi kubwa zikiongoza katika kufanya hivyo.
Rais Xi amesema hayo leo Jumatatu mjini Beijing alipokutana na waziri mkuu wa Ireland Micheal Martin.
"Katika dunia iliyojaa mabadiliko na machafuko, vitendo vya upande mmoja na ukandamizaji vinadhoofisha sana utaratibu wa kimataifa” Rais Xi amesema.

(Picha/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



