Lugha Nyingine
Rais wa Korea Kusini Lee Jae Myung awasili Beijing kufanya ziara ya kiserikali

Rais wa Korea Kusini Lee Jae Myung akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Januari 4, 2026. (Xinhua/Dai Tianfang)
BEIJING - Kwa mwaliko wa Rais Xi Jinping wa China, Rais Kusini Lee Jae Myung wa Korea amewasili Beijing jana Jumapili kwa ziara ya kiserikali nchini China kuanzia Januari 4 hadi 7, ikiwa ni ziara yake ya kwanza nchini China tangu aingie madarakani.
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China amesema kwamba China na Korea Kusini ni majirani na washirika muhimu.
"Inatarajiwa kwamba chini ya mwongozo wa kimkakati wa wakuu hao wawili wa nchi, ziara hii itachukua jukumu kubwa katika kukuza maendeleo zaidi ya ushirikiano wa kimkakati kati ya China na Korea Kusini," msemaji huyo ameongeza.

Rais wa Korea Kusini Lee Jae Myung akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Januari 4, 2026. (Xinhua/Dai Tianfang)

Rais wa Korea Kusini Lee Jae Myung akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Januari 4, 2026. (Xinhua/Dai Tianfang)

Ndege iliyombeba Rais wa Korea Kusini Lee Jae Myung ikiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Januari 4, 2026. (Xinhua/Dai Tianfang)

Ndege iliyombeba Rais wa Korea Kusini Lee Jae Myung ikiwasili Beijing, mji mkuu wa China, Januari 4, 2026. (Xinhua/Dai Tianfang)
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma