Lugha Nyingine
Marekani kujiondoa kwenye Mashirika 66 ya Kimataifa chini ya Amri ya Trump
(CRI Online) Januari 08, 2026
Ikulu ya White House imetoa taarifa ikitangaza kwenye mtandao wa X kwamba Rais wa Marekani Donald Trump jana Jumatano alisaini Hati ya Rais inayoelekeza kujiondoa kwa Marekani kutoka kwenye mashirika 66 ya kimataifa.
Taarifa hiyo ya ikulu imesema, mashirika hayo ya kimataifa, yakiwemo 35 yasiyo ya Umoja wa Mataifa na mengine 31 ya Umoja wa Mataifa, "hayatumikii tena maslahi ya Marekani".
(Wahariri wa tovuti:Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma



