Lugha Nyingine
Bata maji wa kuhamahama zaidi ya 6,000 wawasili kwa wingi Rongcheng, China kufurahia majira ya baridi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 06, 2026
![]() |
| Bata maji wanaoshinda majira ya baridi wakiwa ziwani huko Rongcheng, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Januari 5, 2026. (Xinhua/Xu Suhui) |
Bata maji wanaohamahama zaidi ya 6,000 wamewasili kwa wingi huko Rongcheng, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China ili kushinda hali ya majira ya baridi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Misri yashuhudia idadi inayovunja rekodi ya watalii milioni 19 katika mwaka 2025

Handaki refu zaidi duniani la barabara ya mwendokasi lakamilika

Ndege wa kuhamahama waonekana katika Ziwa Donggu mkoani Hunan, katikati mwa China

Jukwaa jipya la kutazamia mandhari laonyesha mandhari ya mji wa Tianjin, China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
