Beijing yajaa Furaha ya barafu na theluji

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 14, 2026

Katika majira ya baridi ya hivi sasa nchini China, hamu ya wakazi wa Beijing kwa michezo ya barafu na theluji inaongezeka. Kutoka uwanja wa jadi wa kutekeleza kwenye barafu wa Ziwa Shichahai, hadi Bustani ya Shougang ambako Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ilifanyika, mji huu umejaa furaha ya tamasha la baridi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha