Lugha Nyingine
Wanyamapori wakiwa kwenye Hifadhi ya Taifa ya Amboseli ya Kenya
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 09, 2026
![]() |
| Tembo wakionekana kwenye Hifadhi ya Taifa ya Amboseli nchini Kenya, Januari 8, 2026. (Xinhua/Xie Jianfei) |
Hifadhi ya Taifa ya Amboseli ni moja ya maeneo bora ya safari za likizo nchini Kenya na eneo maarufu kwa kutembelewa na watalii duniani. Hifadhi hiyo inapatikana kwenye mpaka kati ya Kenya na Tanzania na iko sehemu ya chini ya mlima mrefu zaidi barani Afrika, Mlima Kilimanjaro.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




