Rais Xi atoa wito wa kusukuma mbele ujenzi wa ushirikiano mpya wa kimkakati kati ya China na Canada

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 16, 2026

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 16, 2026. (Xinhua/Xie Huanchi)

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 16, 2026. (Xinhua/Xie Huanchi)

BEIJING - Rais wa China Xi Jinping leo Ijumaa ametoa wito kwa China na Canada kusukuma mbele ujenzi wa ushirikiano mpya wa kimkakati kwa kuwajibika kwa historia, watu, na dunia.

"Pande zote mbili zinapaswa kuhimiza uhusiano kati ya China na Canada kwenye njia ya maendeleo mazuri, tulivu na endelevu ili kunufaisha vyema watu wa nchi zote mbili," Rais Xi amesema wakati alipokutana na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney mjini Beijing leo siku ya Ijumaa.

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 16, 2026. (Xinhua/Shen Hong)

Rais wa China Xi Jinping akikutana na Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 16, 2026. (Xinhua/Shen Hong)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha