Lugha Nyingine
Kijiji cha Mkoa wa Zhejiang, China chakarabati upya matanuri ya kuchomea chokaa yaliyoachwa kwa kuchochea uchumi wa utalii
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 15, 2026
![]() |
| Watu wakishiriki kwenye saluni ya kiutamaduni katika Kijiji cha Lulikeng cha Wilaya ya Changshan, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China, Januari 14, 2026. (Xinhua/Weng Xinyang) |
Kijiji cha Lulikeng cha Wilaya ya Changshan, Mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China kimekarabati upya matanuri ya kuchomea chokaa yaliyoachwa kijijini na kuyafanya kuwa majengo ya utalii kijijini katika miaka ya hivi karibuni, hali ambayo imekifanya kijiji hicho kuwa mahali pa kutembelewa na watalii kutoka maeneo ya jirani. Tangu Mwaka 2024, maendeleo ya shughuli mbalimbali za biashara katika kijiji hicho yamewezesha wanakijiji zaidi ya 150 kupata kazi sehemu za karibu na nyumbani kwao, na kuongeza mapato ya kijiji kwa zaidi ya yuan milioni 6 (dola za Marekani karibia milioni 0.86).
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




