Rais wa China atoa wito kwa China na Uingereza kwa pamoja kutetea na kutekeleza ushirikiano wa kweli wa pande nyingi

(CRI Online) Januari 29, 2026

(Picha/Xinhua)

(Picha/Xinhua)

Rais wa China Xi Jinping leo Alhamisi ametoa wito kwa China na Uingereza, ambazo ni nchi waungaji mkono wa ushirikiano wa pande nyingi na biashara huria, kwa pamoja kutetea na kutekeleza ushirikiano wa kweli wa pande nyingi.

Rais Xi amesema hayo kwenye mkutano na Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer ambaye yuko ziarani nchini China, na kuongeza kuwa sheria ya kimataifa inaweza kikweli kuwa na ufanisi kamili pale nchi zote zitakapoifuata.

Pia amesema nchi kubwa zinapaswa kuwa mifano hasa, vinginevyo, dunia inaweza kuwa katika hatari ya kurudi nyuma kwenye hali ya kutofuata sheria.

(Picha/Xinhua)

(Picha/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha