Lugha Nyingine
Ubora wa maji katika Ziwa Dianchi la Mkoa wa Yunnan wa China wadumisha kuwa katika kiwango cha juu cha ubora
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 23, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Septemba 3, 2025 ikionyesha mandhari ya Ziwa Dianchi katika Mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Peng Yikai) |
Ofisi ya Usimamizi wa Ziwa Dianchi katika Mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, kusini magharibi mwa China imesema katika taarifa yake ya jana Alhamisi kuwa ubora wa maji katika Ziwa Dianchi umedumisha kuwa katika kiwango cha juu cha ubora kwa miaka minane mfululizo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




