Utawala wa chama cha DPP cha Taiwan wakosolewa kwa kuchochea hatari za kiusalama za programu za simu kutoka China Bara

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 29, 2026

Zhang Han, Msemaji wa Ofisi ya Masuala ya Taiwan ya Baraza la Serikali la China, akionyesha ishara kwenye mkutano na waandishi wa habari mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 28, 2026. (Xinhua/Pan Xu)

BEIJING - Zhang Han, Msemaji wa Ofisi ya Masuala ya Taiwan ya Baraza la Serikali la China jana Jumatano aliukosoa utawala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (DPP) cha Taiwan kwa kuchochea kile kinachoitwa hatari za usalama wa taarifa wa programu za simu (APPs) kutoka China Bara.

Zhang, amesema kwenye mkutano na waandishi wa habari kwamba hatua hizo za DPP zimewanyima watu wa Taiwan, hasa vijana, haki yao ya kupata taarifa na uhuru wa kutumia majukwaa ya mitandao ya kijamii.

Akieleza kuwa hatua hizo zinaonyesha hofu na ukosefu wa kujiamini wa utawala wa chama cha DPP, Zhang amesema kuwa utawala huo utalazimika kukabiliana na madhara makubwa ya vitendo vyake potofu.

Zhang Han, Msemaji wa Ofisi ya Masuala ya Taiwan ya Baraza la Serikali la China, akionyesha ishara kwenye mkutano na waandishi wa habari mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 28, 2026. (Xinhua/Pan Xu)

Zhang Han, Msemaji wa Ofisi ya Masuala ya Taiwan ya Baraza la Serikali la China, akionyesha ishara kwenye mkutano na waandishi wa habari mjini Beijing, mji mkuu wa China, Januari 28, 2026. (Xinhua/Pan Xu)

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha