Maonesho ya fashifashi za chuma kilichoyeyushwa yafanyika Hebei, China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 22, 2026
Maonesho ya fashifashi za chuma kilichoyeyushwa yafanyika Hebei, China kusherehekea Mwaka Mpya wa Jadi
Picha iliyopigwa Februari 20 ikionesha maonesho ya fashifashi za chuma kilichoyeyushwa kwenye mtaa wa kitamaduni katika Eneo la Fengnan la Mji wa Tangshan, Mkoa wa Hebei wa China. (Xinhua/Yang Shiyao)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha