Lugha Nyingine
Mji mkongwe wa Wuzhen, China wazindua shughuli mbalimbali wakati wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 22, 2026
![]() |
| Wasanii wakifanya maonesho huko Wuzhen, Mkoa wa Zhejiang wa China Februari 21, 2026. (Xinhua/Xu Yu) |
Katika likizo ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China mwaka huu, Wuzhen, mji mkonwe mwenye eneo kubwa la maji, ambako shughuli muhimu za mtandao wa intaneti na za sanaa hufanyika kila mwaka, ulizindua shughuli 60 ambazo zinaonesha historia ndefu ya mji huo na uhai wake wa kisasa kwa pande za desturi, maigizo, sayansi na teknolojia, na utamaduni.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




