Siku ya kimataifa ya Lugha Mama yasherehekewa huko Johannesburg, Afrika Kusini (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 22, 2026
Siku ya kimataifa ya Lugha Mama yasherehekewa huko Johannesburg, Afrika Kusini
Watu wakishikiri kwenye darasa la majaribio ya lugha huko Johannesburg, Afrika Kusini, Februari 21, 2026. (Xinhua/Chen Wei)

Mnamo mwaka 1999, UNESCO ilitangaza tarehe 21, Februari kuwa Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama, ili kukuza lugha na tamaduni tofauti.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha