China yawasifu wanawake wa mfano wa kuigwa kabla ya Siku ya Wanawake Duniani

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 03, 2026

Shirikisho Kuu la Wanawake la China (ACF) likifanya mkutano kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi kila mwaka, ambapo limewasifu wanawake wa mfano wa kuigwa kote nchini, mjini Beijing, Machi 2, 2026. (Xinhua/Zhang Yuwei)

BEIJING - Shirikisho Kuu la Wanawake la China (ACF) limefanya mkutano mjini Beijing kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi ya kila mwaka, na kuwasifu wanawake wa mfano wa kuigwa kote nchini.

Jumla ya watu 607, vikundi 400 na sehemu 600 za kazi wamepokea tuzo kwenye mkutano.

Mjumbe wa Kitaifa wa Baraza la Serikali la China Shen Yiqin, ambaye pia ni mkuu wa ACWF, alihutubia mkutano na kutoa salamu zake kwa wanawake katika sekta mbalimbali na wa makabila mbalimbali, na pia kutoa pongezi zake kwa waliotunukiwa tuzo.

Shen ametoa wito wa kuwataka wanawake kote China wafanye juhudi za kutoa mchango kwa ajili ya maendeleo ya nchi ya sifa bora, na kujitahidi kuhimiza kazi mbalimbali zinazohusu Mpango wa 15 wa Miaka Mitano wa China (2026-2030).

Pia amewatia moyo kufanya juhudi za kushiriki kwenye usimamizi wa Dunia, na kuchangia hekima za China katika kuhimiza mambo ya wanawake duniani kote na kusukuma mbele maendeleo ya ustaarabu wa binadamu.

Shirikisho Kuu la Wanawake la China (ACF) likifanya mkutano kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi ya kila mwaka, na kuwasifu wanawake wa mfano wa kuigwa kote nchini, mjini Beijing, Machi 2, 2026. (Xinhua/Zhang Yuwei)

Wanawake wa mfano wa kuigwa, ambao wamepewa sifa ya “wanaotangulia mbele” wa kitaifa, wakipiga picha baada ya mkutano wa kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ya Tarehe 8 Machi ya kila mwaka, na kuwasifu wanawake wa mfano wa kuigwa kote nchini mjini Beijing, Machi 2, 2026. (Xinhua/Zhang Yuwei)

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha