Katika picha: Wajumbe wanawake wa utungaji sheria na mashauriano ya kisiasa kwenye "mikutano mikuu miwili" ya mwaka ya China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2026
Katika picha: Wajumbe wanawake wa utungaji sheria na mashauriano ya kisiasa kwenye
Su Haizhen, mjumbe wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la Umma la China (CPPCC), akihudhuria kwenye ufunguzi wa mkutano wa nne wa Kamati ya 14 ya Kitaifa ya CPPCC katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China, Machi 4, 2026. (Xinhua/Chen Yichen)

Jana Tarehe 8 Machi ilikuwa Siku ya Wanawake Duniani. Kwenye mikutano mikuu miwili ya mwaka ya Bunge la Umma la China na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inayoendelea Beijing, wajumbe wanawake wanafanya kazi muhimu katika kuchangia hekima kwa maendeleo ya nchi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha