Katika picha: Wajumbe wanawake wa utungaji sheria na mashauriano ya kisiasa kwenye "mikutano mikuu miwili" ya mwaka ya China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 09, 2026
Katika picha: Wajumbe wanawake wa utungaji sheria na mashauriano ya kisiasa kwenye
Jin Ruirui (kushoto, mbele), mjumbe wa Bunge la 14 la Umma la China, akizungumzana na mtungaji sheria mwengine kabla ya kikao cha kikundi cha wajumbe kutoka ujumbe wa Mkoa wa Yunnan kwenye mkutano wa nne wa Bunge la 14 la Umma la China huko Beijing, China, Machi 7, 2026. (Xinhua/Cheng Tingting)

Jana Tarehe 8 Machi ilikuwa Siku ya Wanawake Duniani. Kwenye mikutano mikuu miwili ya mwaka ya Bunge la Umma la China na Baraza la Mashauriano ya Kisiasa la China inayoendelea Beijing, wajumbe wanawake wanafanya kazi muhimu katika kuchangia hekima kwa maendeleo ya nchi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha