Bustani za chai katika Wilaya ya Wuyi, China zaingia kwenye msimu wa mavuno (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 11, 2026
Bustani za chai katika Wilaya ya Wuyi, China zaingia kwenye msimu wa mavuno
Picha iliyopigwa Machi 10, 2026 ikionesha droni ya kilimo ikiinyunyizia mbolea bustani ya chai katika Wilaya ya Wuyi, Mji wa Jinhua, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Xinhua/Xu Yu)

Hivi karibuni, hekta zote 8546.7 za bustani za chai katika Wilaya ya Wuyi, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China zimeingia kwenye msimu wa mavuno.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha