Lugha Nyingine
Msimu wa kuchuma chai wa majira ya mchipuko waanza mkoani Guangxi, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 16, 2026
Wakati wa kuchuma majani ya chai ya majira ya mchipuko ukianza, viwanda vya chai na wakulima wa chai wako katika pilika za kuchuma majani ya chai katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




