Msimu wa kuchuma chai wa majira ya mchipuko waanza mkoani Guangxi, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 16, 2026
Msimu wa kuchuma chai wa majira ya mchipuko waanza mkoani Guangxi, China
Picha iliyopigwa Machi 12, 2026 ikionyesha shamba la chai katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China. (Xinhua/Zhang Ailin)

Wakati wa kuchuma majani ya chai ya majira ya mchipuko ukianza, viwanda vya chai na wakulima wa chai wako katika pilika za kuchuma majani ya chai katika Wilaya inayojiendesha ya Kabila la Wadong ya Sanjiang, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha