Lugha Nyingine
Kazi ya kutandaza reli kwenye sehemu ya Yunnan ya reli ya mwendo-kasi ya Chongqing-Kunming, China yaanza (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Machi 19, 2026
Jozi ya kwanza ya reli za chuma zenye urefu wa mita 500 zimetandazwa tayari bila hitilafu kwenye njia ya reli jana Jumatano, ikionesha kuanza rasmi kwa kazi ya kutandaza reli kwenye sehemu ya Yunnan ya reli ya mwendo-kasi ya Chongqing-Kunming nchini China.
Baada ya kukamilika kwa ujenzi wa reli hiyo ya mwendo-kasi, muda wa kusafiri kati ya Chongqing na Kunming utapunguzwa kwa kiasi kikubwa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




