Lugha Nyingine
Ujenzi wa Reli ya mwendo kasi ya Chongqing-Wanzhou waingia hatua ya kutandaza njia za reli (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 04, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wakitekeleza jukumu la kutandaza reli kwenye reli ya mwendo-kasi ya Chongqing-Wanzhou huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China, Aprili 3, 2026. (Xinhua/Tang Yi) |
Ujenzi wa reli ya mwendo kasi ya Chongqing-Wanzhou uliingia kwenye hatua ya kutandaza reli siku ya Ijumaa. Ikisanifiwa kuwa ya kasi ya juu ya kilomita 350 kwa saa, reli hiyo ya mwendo kasi ina urefu wa kilomita 251 kutoka Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki hadi Stesheni ya Reli ya Wanzhou Kaskazini.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




