Lugha Nyingine
Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 04, 2026
![]() |
| Kwarara wakiruka juu ya miti ya pea katika Kijiji cha Caoba, Wilaya ya Yangxian, Mkoa wa Shaanxi Kaskazini Magharibi mwa China, Machi 30, 2026. (Xinhua/Zou Jingyi) |
Ndege wa kwarara hivi karibuni wameingia kwenye msimu wao wa kuzaliana kwenye Wilaya ya Yangxian, Mkoa wa Shaanxi, Kaskazini Magharibi mwa China.
Kwarara wenye kichwa chekundu na mdomo mweusi mrefu, hapo zamani walikuwepo kwenye maeneo mengi ya Asia Mashariki na eneo la Siberia la Russia. Watu walidhani ndege hao hawakuwepo nchini China hadi ndege saba pori wa aina hii wagunduliwe katika Wilaya ya Yangxian, Mkoa wa Shaanxi, mnamo mwaka 1981, ugunduzi ambao ulihimiza uhifadhi wa spishi hii.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




