Lugha Nyingine
Maandalizi ya Maonesho ya 27 ya kimataifa ya Sayansi na Teknolojia ya Mboga ya China (Shouguang) yaingia hatua ya mwisho (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 04, 2026
Maonesho ya 27 ya kimataifa ya Sayansi na Teknolojia ya Mboga ya China (Shouguang) yameingia kwenye hatua yake ya mwisho ya maandalizi. Yakipangwa kufanyika kuanzia Aprili 20 hadi Mei 30, maonesho hayo ya mwaka huu yatashirikisha mboga za zaidi ya aina 2,600.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




