Maonyesho ya 6 ya China ya Bidhaa za Matumizi za Kimataifa Yaandaliwa Hainan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 13, 2026
Maonyesho ya 6 ya China ya Bidhaa za Matumizi za Kimataifa Yaandaliwa Hainan
Wafanyakazi wakiweka maskoti ya Maonyesho ya sita ya China ya Bidhaa za Matumizi za Kimataifa (CICPE) kwenye Kituo cha Maonyesho na Mikutano ya Kimataifa cha Hainan, ukumbi mkuu wa Maonyesho hayo yaliyopangwa kuanza leo, mjini Haikou, Mkoa wa Hainan, kusini mwa China, Aprili 10, 2026. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

Maonyesho ya sita ya China ya Bidhaa za Matumizi ya Kimataifa (CICPE) ambayo yamepangwa kufanyika katika Mkoa wa Hainan, kusini mwa China kuanzia leo Jumatatu Aprili 13 hadi Aprili 18, ambapo bidhaa za chapa zaidi 3,400 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 60 zitaoneshwa kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha