Lugha Nyingine
Mradi wa uboreshaji wa mji wahimizwa kwa juhudi za ulinzi wa ikolojia katika Mkoa wa Fujian, China (2)
![]() |
| Picha iliyopigwa Aprili 12, 2026 ikionyesha bustani ya burudani kwenye eneo la watalii la Long Jiang Years katika Mji wa Zhangzhou, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Deng Hua) |
Katika miaka ya hivi karibuni, serikali ya Mji wa Zhangzhou katika Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China imekuwa ikiimarisha ulinzi wa ikolojia na kusukuma mbele uhifadhi na urejesho wa maeneo muhimu kama bonde la Mto Jiulong ili kudumisha anga la bluu, udongo safi na maji safi na salama.
Imekuwa ikihimiza mradi wa uboreshaji wa mji unaoitwa "Long Jiang Years" kwa awamu kwenye ukingo wa kusini wa Mto Jiulong, na kubadilisha maeneo oevu ya karibu na mito na ardhi zisizo na tija kuwa nafasi ya kijani ya ufukweni.

Ndege wa Kwarara waingia msimu wa kuzaliana huko Shaanxi, China

Eneo la kaboni-sifuri katika Mkoa wa Hainan laonyesha vitendo vya kijani vya China

Vifaa vya kisasa vya usafi vyatoa huduma kwenye Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Boao la Asia 2026

Eneo Jipya la Xiong'an la China labadilika kuwa mji wenye nguvu hai kutoka mpango
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
