Rais wa Msumbiji awasili Beijing katika ziara yake ya kiserikali nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 21, 2026
Rais wa Msumbiji awasili Beijing katika ziara yake ya kiserikali nchini China
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Daniel Francisco Chapo akiwasili Beijing, mji mkuu wa China, katika ziara yake ya kiserikali, Aprili 20, 2026. (Xinhua/Cai Yang)

Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Daniel Francisco Chapo amewasili Beijing jana Jumatatu Aprili 20, baada ya kutembelea mikoa ya Hunan na Qinghai katika ziara yake ya kiserikali nchini China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha