Tamasha la Muziki la Tianjin 2026 laanza rasmi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) April 28, 2026
Tamasha la Muziki la Tianjin 2026 laanza rasmi
Wanamuziki wakitumbuiza kwenye ufunguzi wa Tamasha la Muziki la Tianjin 2026 katika Ukumbi Mkuu wa Maonyesho wa Tianjin, kaskazini mwa China, Aprili 26, 2026. (Xinhua/Sun Fanyue)

Tamasha la Muziki la Tianjin 2026 limeanza rasmi Jumapili kwenye Ukumbi Mkuu wa Maonyesho wa Tianjin, kaskazini mwa China. Tamasha hilo linalojumuisha maonyesho kuburudisha hadhira jukwaani, maonyesho ya kipekee yanayozamisha hisia, na maonyesho ya ustawi wa umma, litawasilisha matukio karibu mia moja ya muziki na limepangwa kuendelea hadi Julai 5.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha