Maonyesho ya 10 ya China na Russia yafunguliwa kwa umma mjini Harbin, Heilongjiang, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2026
Maonyesho ya 10 ya China na Russia yafunguliwa kwa umma mjini Harbin, Heilongjiang, China
Mshiriki wa maonesho hayo akipiga picha na roboti yenye umbo la binadamu kwenye Maonyesho ya 10 ya China na Russia, huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Mei 17, 2026. (Xinhua/Zhang Tao)

Maonyesho ya 10 ya China na Russia yamefunguliwa rasmi kwa umma jana Jumapili. Eneo la jumla la maonyesho hayo limefikia mita za mraba 55,000, na kampuni na viwanda zaidi ya 1,500 kutoka nchi na maeneo 46 vimeshiriki kwenye maonesho hayo.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha