Lugha Nyingine
Maonyesho ya 10 ya China na Russia yafunguliwa kwa umma mjini Harbin, Heilongjiang, China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 18, 2026
![]() |
| Picha hii ikionesha onesho la Roboti yenye umbo la binadamu na msanii kwenye Maonyesho ya 10 ya China na Russia, huko Harbin, Mkoa wa Heilongjiang kaskazini mashariki mwa China, Mei 17, 2026. (Picha na Yuan Yong/Xinhua) |
Maonyesho ya 10 ya China na Russia yamefunguliwa rasmi kwa umma jana Jumapili. Eneo la jumla la maonyesho hayo limefikia mita za mraba 55,000, na kampuni na viwanda zaidi ya 1,500 kutoka nchi na maeneo 46 vimeshiriki kwenye maonesho hayo.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




