Matumizi ya kibiashara ya AI yaongezeka kwa kasi kubwa kote China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 25, 2026
Matumizi ya kibiashara ya AI yaongezeka kwa kasi kubwa kote China
Roboti barista inayotumia AI ikitengeneza kahawa kwenye duka la kahawa katika Eneo Jipya la Xiong'an, katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Machi 25, 2026. (Xinhua/Zhu Xudong)

BEIJING - Teknolojia ya AI ni mwakilishi wa nguvukazi mpya za uzalishaji zenye sifa bora na alama ya kipekee katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ya China, hivi sasa teknolojia hiyo inasukuma mbele maendeleo ya kupanda ngazi ya juu na kufanya uvumbuzi katika sekta mbalimbali nchini China.

Ripoti ya kazi ya serikali ya China ya mwaka huu imesema kuwa, ni lazima kuharakisha matumizi ya vituo vya AI vya kizazi kipya na mbadala wa AI, kuhimiza matumizi makubwa ya kibiashara ya AI katika sekta na nyanja muhimu, na kuandaa shughuli za aina mpya na za mfano wa aina mpya katika shughuli asili za AI.

Kadiri China inavyopiga hatua madhubuti kwa kusukuma mbele maendeleo ya sifa bora, soko lake kubwa na mfumo wa viwanda ulioimarishwa vizuri vinaleta uwezekano mkubwa kwa matumizi ya AI katika siku za baadaye.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha