Mji wa Yichang wa China wachukua hatua kuboresha shughuli za usafirishaji mizigo wa meli (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 10, 2026
Mji wa Yichang wa China wachukua hatua kuboresha shughuli za usafirishaji mizigo wa meli
Picha iliyopigwa Mei 13, 2026 ikionyesha meli zikipita katika sehemu ya Yichang ya Mto Changjiang, huko Yichang, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China. (Xinhua/Xiao Yijiu)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Yichang katika Mkoa wa Hubei, katikati mwa China umechukua hatua za kuzifanya shughuli za usafirishaji wa mizigo wa meli zipande ngazi mpya kwa kupitia kuboresha mpangilio wa bandari, kuchimba njia za kupitisha meli katika sehemu ya Yichang ya Mto Changjiang, kuhimiza usafirishaji wa kutumia nishati ya kijani, na kuimarisha mfumo wa usafirishaji wa mizigo wa meli tofauti kwa pamoja kwenye njia ya sehemu mbalimbali. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha