Urejeshaji wa ikolojia wahuisha Mto Hutuo katika Mji wa Shijiazhuang wa Hebei, China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 11, 2026
Urejeshaji wa ikolojia wahuisha Mto Hutuo katika Mji wa Shijiazhuang wa Hebei, China
Picha iliyopigwa Juni 4, 2026 ikionyesha daraja linalovuka Mto Hutuo na mandhari ya mji Shijiazhuang, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China. (Picha na Liang Zidong/Xinhua)

Sehemu ya Shijiazhuang ya Mto Hutuo katika Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China ina urefu wa kilomita takriban 205 na inatiririka kupita maeneo na wilaya mbalimbali za mji huo, hivyo unaitwa kuwa"mto mama" wa mji huo. Tangu mwaka 2017, Mji wa Shijiazhuang umetekeleza kwa vipindi tofauti kazi ya urejeshaji wa hali ya ikolojia kando za mto huo.

Hivi sasa, kando mbili za Mto Hutuo zimekuwa sehemu za mapumziko zinazowafurahisha wakazi wa huko, wakati huohuo shughuli mbalimbali zimeibuka zaidi katika mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha