Lugha Nyingine
ChinaVumbuzi | Kongani ya viwanda vya uvumbuzi wa roboti za AI mjini Beijing, China yashamiri kwa teknolojia za hali ya juu (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 15, 2026
Kongani ya viwanda vya uvumbuzi wa roboti za AI iliyoko Zhongguancun, mjini Beijing, mji mkuu wa China ni nyumbani kwa wahusika kadhaa mahiri katika nyanja ya roboti za AI. Shukrani kwa "msongamano mkubwa" wa kampuni ulioko mahali hapo, ni rahisi sana kwa wahusika wa nyanya hiyo kupata washirika katika mnyororo wa kiviwanda – kwa kupanda na kushuka tu ngazi katika jengo la ofisi.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




