Lugha Nyingine
Watalii wa kigeni wamiminika Chongqing, China huku idadi ya abiria wa kuvuka mpaka ikiongezeka (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 15, 2026
![]() |
| Ofisa wa polisi akimsaidia abiria wa Thailand kujiandikisha kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jiangbei wa Chongqing kusini magharibi mwa China, Julai 13, 2026. (Picha na Zeng Yanyan/Xinhua) |
Tokea mwaka huu, idadi ya abiria wanaoingia na kutoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jiangbei wa Chongqing kusini-magharibi mwa China imeendelea kuongezeka, huku kukiwa na ongezeko kubwa la idadi ya abiria wa kigeni.
Katika nusu ya kwanza ya mwaka 2026, uwanja huo wa ndege uliwapokea idadi ya abiria zaidi ya milioni 1.48 wanaoingia na kutoka, idadi hiyo imefikia ongezeko la asilimia 39.5 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




