Lugha Nyingine
Mkutano wa AI Duniani 2026 wawa tayari kufunguliwa Shanghai (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2026
![]() |
| Wafanyakazi wakifanya kazi kwenye Kituo cha Maonyesho na Mikutano cha Maonyesho ya Dunia cha Shanghai Julai 16, 2026. (Xinhua/Ding Ting) |
Mji wa Shanghai, mashariki mwa China unakaribisha wakati wake muhimu zaidi wa AI mwaka huu wa kufanyika kwa Mkutano wa AI Duniani 2026 (WAIC) na Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu Usimamizi wa AI Duniani kuanzia leo Ijumaa hadi Jumatatu ijayo.
Mkutano huo ukiwa na kaulimbiu ya "Ushirikiano wa AI kwa Mustakabali Mzuri Zaidi," utahusisha majukwaa zaidi ya 140, ambapo wageni 1,400 kutoka ndani na nje ya China watakusanyika pamoja.
Kwa mara ya kwanza, eneo la maonyesho ya mkutano huo litazidi mita za mraba 100,000, na kampuni zaidi ya 1,100 zinakadiriwa kushiriki kwenye shughuli husika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




