Lugha Nyingine
Mkutano wa AI Duniani wa Shanghai waonyesha bidhaa mpya zenye maumbo ya jumla ya mfumo wa hali ya juu ya AI (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 20, 2026
![]() |
| Roboti ikifungua mlango wa mashine ya kufulia nguo ili kuweka nguo kwenye Mkutano wa AI Duniani 2026 unaofanyika Shanghai, mashariki mwa China, Julai 19, 2026. (Xinhua/Huang Xiaoyong) |
Mkutano wa AI Duniani 2026 unaoendelea huko Shanghai, mashariki mwa China umebadilika kuwa uwanja wenye ushindani mkali kati ya makampuni zaidi ya 200 za utoaji wa bidhaa mpya za hali ya juu za AI zenye maumbo ya jumla ya mfumo wa kufikiri, kujihisi na kufanya vitendo.
Mfumo huu wa AI unawezesha roboti kutekeleza majukumu ya aina mbalimbali na kuendana na matumizi kwenye mazingira mbalimbali tofauti katika hali halisi.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




