Shughuli ya kutembelea meli ya kitalii yaanza kama sehemu ya Tamasha la Bia la Kimataifa la Qingdao, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2026
Shughuli ya kutembelea meli ya kitalii yaanza kama sehemu ya Tamasha la Bia la Kimataifa la Qingdao, China
Wafanyakazi wakiandaa bia kwa watalii walio ndani ya meli ya kitalii ya Dream, kwenye Gati la Kimataifa la Meli za Kitalii la Qingdao mjini Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China, Julai 20, 2026. (Xinhua/Li Ziheng)

Ikiwa ni sehemu ya Tamasha la 36 la Bia la Kimataifa la Qingdao, shughuli ya kutembelea meli ya kitalii imeanza rasmi jana Jumatatu kwenye Gati la Kimataifa la Meli za Kitalii la Qingdao mjini Qingdao, Mkoa wa Shandong, mashariki mwa China.

Shughuli hiyo inayojumuisha maonyesho na mambo ya kujionea kwa watalii, imetengeneza nafasi ya utalii wa mapumziko wa kushiriki mambo mbalimbali baharini kwa watalii.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha