Mji wa Mudanjiang, China waharakisha kurejesha utoaji wa maji na umeme katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2026
Mji wa Mudanjiang, China waharakisha kurejesha utoaji wa maji na umeme katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko
Wafanyakazi wakikarabati miundombinu ya utoaji maji katika Tarafa ya Wenchun ya Eneo la Xi'an la Mudanjiang, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, Julai 20, 2026. (Picha na Zhang Chunxiang/Xinhua)

Kadiri mafuriko yanavyopungua, ndivyo idara za utoaji wa maji na umeme katika Mji wa Mudanjiang zinavyoongeza juhudi za kurejesha huduma za utoaji maji na umeme katika maeneo yaliyoathiriwa na maafa. 

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha