Mkutano wa AI Duniani 2026 wamalizika mjini Shanghai (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2026
Mkutano wa AI Duniani 2026 wamalizika mjini Shanghai
Mtembeleaji akitazama roboti iliyopiga piano kwenye Mkutano wa AI Duniani 2026 na Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu Usimamizi wa AI Duniani huko Shanghai, mashariki mwa China, Julai 20, 2026. (Xinhua/Wang Xiang)

Mkutano wa AI Duniani 2026 na Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu Usimamizi wa AI Duniani umemalizika jana Jumatatu huko Shanghai, mashariki mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha