Lugha Nyingine
Jukwaa la Maendeleo ya Kidijitali ya Njia ya Hariri la Mkutano wa Intaneti Duniani 2026 lafunguliwa Xi'an, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 23, 2026
![]() |
| Picha iliyopigwa Julai 22, 2026 ikionyesha ufunguzi wa Jukwaa la Maendeleo ya Kidijitali ya Njia ya Hariri la Mkutano wa Intaneti Duniani 2026 mjini Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China. (Xinhua/Zou Jingyi) |
Jukwaa la Maendeleo ya Kidijitali ya Njia ya Hariri la Mkutano wa Intaneti Duniani 2026 lenye kaulimbiu ya "Kukusanya Maarifa ya Njia ya Hariri, Kuanzisha Mustakabali wa Kidijitali -- Kujenga kwa Pamoja Jumuiya ya Nafasi ya Mtandao yenye Mustakabali wa Pamoja" limefunguliwa Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China jana Jumatano.
Jukwaa hilo limevutia washiriki takriban 800 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 50, pamoja na mashirika saba ya kimataifa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




