Mikahawa yaleta uhai mpya katika eneo la mji la zamani mjini Shenyang, Kaskazini-mashariki mwa China (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 03, 2026
Mikahawa yaleta uhai mpya katika eneo la mji la zamani mjini Shenyang, Kaskazini-mashariki mwa China
Barista akitengeneza kahawa ndani ya mkahawa kwenye Mtaa wa Bajing mjini Shenyang, Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China, Agosti 1, 2026. (Xinhua/Pan Yulong)

SHENYANG –Mikahawa mbalimbali yenye mapambo ya mitindo tofauti kwenye Mtaa wa Bajing imeleta uhai mpya katika eneo la mji la zamani mjini Shenyang, Mkoa wa Liaoning, kaskazini-mashariki mwa China.

Mtaa huo wa kihistoria uliokuwa na hali ya ukimya na kupitwa na wakati hivi sasa umekuwa alama mpya ya utamaduni na utalii yenye nguvu hai inayovutia maelfu ya watembeleaji vijana kila siku. Kila mkahawa katika mtaa huo unaelezea simulizi tofauti za namna mji unavyokua kwa kufuata wakati.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha