Panda Xing Mei asherehekewa siku ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 15 mjini Tianjin, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2026
Panda Xing Mei asherehekewa siku ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 15 mjini Tianjin, China
Panda Xing Mei akifurahia uhondo wake wa siku ya kuzaliwa kwenye bustani ya wanyama ya Eneo la Utalii na Mapumziko la Guanghegu huko Tianjin, kaskazini mwa China, Agosti 10, 2026. (Xinhua/Zhao Zishuo)

Bustani ya wanyama kwenye Eneo la Utalii na Mapumziko la Guanghegu huko Tianjin, kaskazini mwa China imesherehekea siku ya kuzaliwa ya Panda Xing Mei ya kutimiza miaka 15 jana Jumatatu. Xing Mei alizaliwa Agosti 2011 kwenye Kituo cha Utafiti wa Kuzaliana kwa Panda cha Chengdu mkoani Sichuan kusini magharibi mwa China, na alihamishiwa Tianjin Septemba 2013.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha