Shughuli ya muda usio na uendeshaji wa magari mitaani yafanyika Johannesburg, Afrika Kusini (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 11, 2026
Shughuli ya muda usio na uendeshaji wa magari mitaani yafanyika Johannesburg, Afrika Kusini
Mtoto akicheza mchezo wa kuteleza kwa ubao mtaani kwenye shughuli ya muda usio na uendeshaji wa magari mitaani jijini Johannesburg, Afrika Kusini, Agosti 9, 2026. (Picha na Ihsaan Haffejee/Xinhua)

Jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini lilifanya shughuli ya kufurahia muda wa bila magari mitaani Jumapili Agosti 9. Kwenye shughuli hiyo, baadhi ya mitaa jijini humo ilibadilika kuwa maeneo yasiyo na uendeshaji wa magari mitaani kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 jioni, magari yakipigwa marufuku ya kupita mitaani.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha