Mapango ya karst ya Guizhou, China yatoa maeneo ya kuepuka joto kwa watalii (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2026
Mapango ya karst ya Guizhou, China yatoa maeneo ya kuepuka joto kwa watalii
Picha iliyopigwa Agosti 10, 2026 ikionyesha watalii wakifurahia kwenye mkahawa ndani ya pango la karst katika Wilaya ya Xiuwen ya Mji wa Guiyang, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China. (Picha na Yuan Fuhong/Xinhua)

Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China ambao unajulikana zaidi kwa mandhari yake ya karst, umetumia vema zaidi mapango ya karst ili kujenga maeneo ya kipekee ya kuepuka joto. Ikijumuisha maajabu ya kijiolojia ya asili, starehe ya kuepuka joto na burudani za majini, hali hiyo mpya ya utalii imekuwa maarufu miongoni mwa wenyeji na watalii.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha