Lugha Nyingine
Mapango ya karst ya Guizhou, China yatoa maeneo ya kuepuka joto kwa watalii (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 12, 2026
![]() |
| Watoto wakifurahia ndani ya pango la karst katika Mji wa Kaili, Eneo linalojiendesha la Makabila ya Wamiao na Wadong la Qiandongnan, Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China, Agosti 8, 2026. (Picha na Wu Xianyan/Xinhua) |
Mkoa wa Guizhou, kusini magharibi mwa China ambao unajulikana zaidi kwa mandhari yake ya karst, umetumia vema zaidi mapango ya karst ili kujenga maeneo ya kipekee ya kuepuka joto. Ikijumuisha maajabu ya kijiolojia ya asili, starehe ya kuepuka joto na burudani za majini, hali hiyo mpya ya utalii imekuwa maarufu miongoni mwa wenyeji na watalii.
(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




