Meli za uvuvi zafunga safari kuelekea Bahari ya Manjano kuvua samaki baada ya marufuku ya uvuvi kuondolewa mkoani Jiangsu, China (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 13, 2026
Meli za uvuvi zafunga safari kuelekea Bahari ya Manjano kuvua samaki baada ya marufuku ya uvuvi kuondolewa mkoani Jiangsu, China
Picha iliyopigwa tarehe 12 Agosti, 2026 ikionesha meli za uvuvi zikijiandaa kufunga safari ya kuelekea Bahari ya Manjano kuvua samaki baada ya marufuku ya uvuvi kuondolewa huko Lianyungang, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. (Picha na Wang Jianmin/Xinhua)

Meli za uvuvi zilizopewa kibali maalumu zimeanza safari kuelekea Bahari ya Manjano kuvua samaki baada ya marufuku ya kuvua wakati wa majira ya joto kuondolewa kwa sehemu fulani jana Jumatano, Agosti 12 katika Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China. Kuondolewa kwa marufuku hayo kuliahirishwa kwa wiki moja kutokana na athari za Kimbunga Pomboo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha