Msimu wa uvuvi wa Bahari ya Kusini ya China waanza rasmi (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2026
Msimu wa uvuvi wa Bahari ya Kusini ya China waanza rasmi
Picha iliyopigwa tarehe 16 Agosti, 2026 ikionyesha meli za uvuvi zikifunga safari ya uvuvi kutoka bandari ya Longmen huko Qinzhou, Mkoa Unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, kusini mwa China. (Xinhua/Zhang Ailin)

Msimu wa uvuvi wa Bahari ya Kusini ya China umeanza rasmi mchana wa jana Jumapili baada ya kumalizika kwa marufuku ya uvuvi ya muda wa miezi-mitatu-na-nusu wakati wa majira ya joto ya mwaka huu.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha