Lugha Nyingine
Msimu wa uvuvi wa Bahari ya Kusini ya China waanza rasmi (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 17, 2026
![]() |
| Watu wakifanya onyesho la ngoma ya dragoni kusherehekea msimu mpya wa uvuvi karibu na bandari ya Tanmen huko Qionghai, mkoani Hainan, kusini mwa China, Agosti 16, 2026. (Xinhua/Pu Xiaoxu) |
Msimu wa uvuvi wa Bahari ya Kusini ya China umeanza rasmi mchana wa jana Jumapili baada ya kumalizika kwa marufuku ya uvuvi ya muda wa miezi-mitatu-na-nusu wakati wa majira ya joto ya mwaka huu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




