Lugha Nyingine
China yatoa sarafu za kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa Jiang Zemin (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 18, 2026
![]() |
| Picha hii ikionyesha sarafu ya kawaida iliyotolewa na benki kuu ya China kwa kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa marehemu Jiang Zemin aliyekuwa kiongozi wa China. (Xinhua) |
Benki kuu ya China ilitangaza Ijumaa iliyopita kwamba kuanzia Agosti 17 itatoa sarafu za kumbukumbu ya miaka 100 ya kuzaliwa kwa marehemu Jiang Zemin aliyekuwa kiongozi wa China.
Sarafu hizo zinahusisha sarafu moja ya kawaida ya kumbukumbu, sarafu mbili za dhahabu na sarafu moja ya fedha, ambazo zote ni sarafu za matumizi rasmi nchini China, kwa mujibu wa Benki Kuu ya China.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma




